Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania

cg.authorship.typesCGIAR and developing country instituteen
cg.contributor.affiliationInternational Center for Tropical Agricultureen
cg.contributor.affiliationBabati District Councilen
cg.contributor.crpWater, Land and Ecosystemsen
cg.contributor.donorUnited States Agency for International Developmenten
cg.coverage.countryTanzaniaen
cg.coverage.iso3166-alpha2TZen
cg.coverage.regionAfricaen
cg.coverage.regionEastern Africaen
cg.coverage.regionSub-Saharan Africaen
cg.creator.identifierJob Kihara: 0000-0002-4394-9553en
cg.subject.alliancebiovciatAGRICULTUREen
cg.subject.alliancebiovciatCASSAVAen
cg.subject.alliancebiovciatCLIMATE CHANGE ADAPTATIONen
cg.subject.impactAreaClimate adaptation and mitigationen
cg.subject.sdgSDG 1 - No povertyen
cg.subject.sdgSDG 2 - Zero hungeren
cg.subject.sdgSDG 12 - Responsible consumption and productionen
cg.subject.sdgSDG 15 - Life on landen
dc.contributor.authorKihara, Job Magutaen
dc.contributor.authorKinyua, Michaelen
dc.contributor.authorMassam, Jonusen
dc.contributor.authorPallagjo, Roseen
dc.contributor.authorSongoyani, Inoten
dc.contributor.authorKyekaka, Jetridaen
dc.date.accessioned2022-09-14T09:26:42Zen
dc.date.available2022-09-14T09:26:42Zen
dc.identifier.urihttps://hdl.handle.net/10568/121878
dc.titleHadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzaniaen
dcterms.abstractKitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi za mafanikio zilizosimuliwa na wakulima ambao wamenufaika na mradi wa Africa RISING katika Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESA). Kitabu hiki kinaelezea namna ambavyo mkusanyiko wa mbinu bora za kilimo umebadilisha maisha ya wakulima wengi wadogowadogo wanaoishi katika wilaya ya Babati, Tanzania. Kitabu kinaelezea vile teknolojia zilizo na uhitaji zilianzishwa kwa wakulima kutatua changamoto zilizowakabili wakulima wengi katika eneo hili. Ushahidi wa mafanikio kwa wakulima waliotumia teknolojia zilizoboreshwa za kilimo unaelezwa zaidi katika kitabu hiki. Katika kuangazia teknolojia bora za kilimo zitakazofaa katika wilaya ya Babati, mtindo wa Mbili-Mbili, mbinu bora za kilimo na utunzaji wa rutuba ya udongo na maji (ISFM) kama vile kupanda kwa nafasi sahihi, matumizi ya mbegu bora na matumizi ya mbolea ya samadi, ilikuwa sahihi kuwa zina uwezo wa kuleta faida kubwa kwa wakulima. Shukrani kwa mradi wa Africa RISING. Ili kupunguza mapungufu ya uzalishaji, kudhibiti wadudu na magonjwa yanayoshambulia mazao ya wakulima wadogowadogo na kuweka mazingira safi ya soko kwa wakulima. Mradi wa Africa RISING umekua ukijitahidi kufanya utafiti ili kupambana na changamoto hizi. Ushirikiano wa watafiti na mashirika ya maendeleo katika mradi huu umeweza kuwawezesha wakulima kuwa na mbinu endelevu za kilimo. Mbinu hizi zimeweza kuboresha kilimo na kuleta mafanikio kwa jamii kwa kuleta tija bora, kipato, lishe na usalama wa chakula.en
dcterms.accessRightsOpen Accessen
dcterms.audienceFarmersen
dcterms.audienceScientistsen
dcterms.bibliographicCitationKihara, J.; Kinyua, M.; Massam, J.; Pallagjo, R.; Songoyani, I.; Kyekaka, J. (2022) Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania. Ibadan (Nigeria): IITA. 35 p.en
dcterms.extent35 p.en
dcterms.issued2022-09en
dcterms.languageswen
dcterms.licenseCC-BY-4.0en
dcterms.subjectfarming systemsen
dcterms.subjectintegrated soil fertility managementen
dcterms.subjectintensive farmingen
dcterms.subjectsmallholdersen
dcterms.subjectappropriate technologyen
dcterms.subjectsistemas de explotaciónen
dcterms.subjectmanejo integrado de la fertilidad del sueloen
dcterms.subjectexplotación agrícola intensivaen
dcterms.typeReporten

Files

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.75 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: