Tekinolojia ya Mbili-Mbili; kuongeza uzalishaji wa mikunde Afrika Mashariki
Files
Authors
Date Issued
Date Online
Language
Type
Review Status
Access Rights
Metadata
Full item pageCitation
Kihara, J.M.; Kinyua, M.W. (2022) Tekinolojia ya Mbili-Mbili; kuongeza uzalishaji wa mikunde Afrika Mashariki. Muhtasari wa tekinolojia 4 p.
Permanent link to cite or share this item
External link to download this item
DOI
Abstract/Description
Mbili-Mbili ni mkakati wa kilimo mseto cha nafaka na mikunde unaohusisha upandaji wa mazao matatu yenye ukuaji na mpangilio tofauti shambani. Tekinolojia hii ilitengenezwa kwa mfumo wa utafiti wa Afrika katika uimarishaji maendeleo endelevu kwa kizazi kijacho. Mradi wa Africa RISING umelenga kuwasaidia wakulima wadogowadogo kuondokana na njaa, uhaba wa chakula, Utapiamlo na umaskini. Hapo awali, kazi kubwa ilifanyika kukuza mazoea ya matumizi ya mbinu bora za kilimo kama vile mchanganyiko wa mbinu za utunzaji rutuba ya udongo (ISFM) ambazo zimeongeza tija ya mahindi kwa mafanikio mazuri.
Author ORCID identifiers
Luka M. Wanjohi https://orcid.org/0000-0003-2108-4007